Saturday, June 30, 2012

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Taasisi ya wataalam wa Afya wa Kiislam ,The Sunshine Muslim Volunteers (SMV) inayofuraha ya kuwatangazia wananchi wote kuwa Imeandaa kongamano la uchunguzi wa Saratani ya matiti kwa kina mama WOTE BURE ikiwa ni katika kusherehekekea ufunguzi rasmi wa kituo cha afya kwa ajili ya kinamama na watoto kiitwacho SMV MATERNITY AND CHILD CARE kilichopo MTAA WA KIGOMA NA BUKOBA –ILALA DAR ES SALAAM.
Kongamano na ufunguzi huo utafanyika siku ya  jumapili tarehe 1/7/2012 kuanzia saa 2 asubuhi hadi 11 jioni hapa hapa kituoni ILALA.
Karibuni wote mpate huduma!
WE SERVE TO PLEASE ALLAH!