Sunday, January 06, 2013

MOTO MKUBWA WAISHAMBULIA AUSTRALIA


Moto umepamba katika kisiwa cha Tasmania, Australia, na kulazimisha maelfu ya watu kukimbia makwao. Nyumba zaidi ya 100 zimeangamia.Moto ulipozidi kuzagaa watu wengi walikimbilia pwani na ilibidi kuokolewa kwa mashua.
Kuna myoto kama 40 inawaka katika kisiwa hicho lakini upepo mkali na joto jingi limeanza kupungua. Wazima moto piya wamekuwa wakipambana na moto barani Australia, ambako joto limezidi katika kiangazi cha mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAWAZO YAKO