Bandari College
1. The College offers the following training Programmes
- Port Operation Courses
- Diploma in shipping and Port Management
- Advanced Certificate in Port Operation
- Certificate in Clearing and Forwarding
- Port worker Development Programmed (PDP)
- Clerical Cargo Handling Operations; Gantry Crane Operations. Container Handling
Equipment Operations
- Improving Port Performance (IPP)
- Management of General Cargo Operations
- Management of Container Terminal Operations (Train mar 2.6). Port SecurityFire and
Safety
2. Maritime Studies
- Maritime Deck Services
- Engine Room Techniques
- Boat Building and Repairs
3. Training Facilities
- Highly trained and experienced Instructions
- Excellent Classrooms
4 Workshops
- Electrical, Mechanical, Automotive & Civil Well stocked library
- Audio-Visual Training Materials and Publication section Computer Laboratory
4. Engineering Courses
- Civil Automotive Mechanical
- Electrical Production & Service works are also undertaken e.g. Car Servicing, wood
working and Brick Making.
5. Management & Workers Education
- Computer Courses Supervisory Management
- Personnel Management
- Human Resources Development
- Environment Protection & Conservation
6. Vocational Training
- Motor Vehicle Mechanics
- Carpentry and Masonry
1 / 2
Bandari College
- Welding and Metal Fabrication
- Electrical Installation
- Tailor Made Courses, These are offered on request. Duration of these courses Ranges
from 2 weeks or more
7. Special Courses
- 9 months Diploma in Shipping and Port Management
- 3 months Certificate Course in Clearing & Forwarding
The two special courses have been developed to give professional skills to the shipping
community in Tanzania.
Principal Bandari College
Mahunda Street, Tandika
P.O.Box 9184
Dar-es-salaam
Tel: (255)22-2850970 Fax:(255)22-2113938
Email: pbc@tanzaniaports.com
**** KWA KUPATA PROSPECTUS, FOMU ZA KUJIUNGA NA MAELEZO MENGINE BONYEZA KITUFE HAPO KULIA KILICHOANDIKWA BANDARI COLLEGE PROSPECTUS***
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeletei never see crane operator in list course there what about school fews of crane and when it will start that course
ReplyDeleteInagalimu shingapi kozi zake plz ningependa kujua.
ReplyDeletehio course container handling itaanza lini
ReplyDeletegood college, i advice then to manage it to be reputable at international level,
ReplyDeleteNmeshindwa kufungua can anybody help me pls niweze pata Maelezo ya ndan
ReplyDeleteKufungua sehem gani
DeleteWhen course of crane operator starting.
ReplyDeleteDimploma port management
DeleteWhen course of crane operator starting.
ReplyDeletetatizo hampo wazi kipindi gani kozi zinachukua wengine tpo mikoani s ataarifa zikiwa fupi hatuwaelewi
ReplyDeleteTatizo TAARIFA ya chuo cha bandari cha Tandika Dar ES salaam kuhusu courses fees NA MDA wa kwanza course NA application system haipo wazi kama vyuo vya Kenya, jaribuni kufunguka kwani mtindo wa online ni lazima use NA option kwa hizi nchi zetu za third world.
ReplyDeleteI want to join but niko Kenya to get application form hard for me.please help
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
DeleteThis comment has been removed by the author.
DeleteKozi ya first aid haitolewi na kama inatolewa naomba muongizo
ReplyDeleteNilisomea mobile crane uku tawi lenu la mtwara mwaka 2016 mwezie wa 5 ila sijapata cheti changu mnanisaidiaje niliambiwa vilifika vikaludishwa dar
ReplyDeleteSifa za kujiunga na hicho chuo ni zipi
ReplyDeletecontact is not valid
ReplyDeleteMimi na ufaulu wa history -c
ReplyDeleteEnglish -c
Geograph -c
kiswahil -c
Biology -D
Civc -D
Physcs'mathema'chemistr-F
Naweza soma kozi gani apo chuoni kwa ufaulu huo
Napenda kuuliz gharam na kiwang ch ufaul mnaoutak ni kuanzia upi
DeleteNapenda kuuliza apo kama nimemaliza kidato cha sita naweza kujiungaa apo Chuo Na taaratibu zikoje apo chuoni
ReplyDeleteNapenda kuuliza kuwa kama nimepata div 3 ya 15 formsix E, E, E kila somo naweza kwenda diploma na comb niliyosoma ni HGL
DeletePia kozi gani in nzuri Na garama zikoje
ReplyDeleteMimi nimehitimu kidato cha 4 na Nina ufaulu wa alama D 3,C 2 je naweza kusomea course gan apo chuoni kwenu
ReplyDeleteShida hawajibu
DeleteIam procurement student I have just finished certificate but I really need to be with this university
ReplyDeleteKwa jina naitwa yusufu nimemaliza cheti cha certificate procurement and logistic management katika chuo cha T.I.A Nina grade C,A na B kwenye cheti changu nahitaji kujiunga chuo hichi cha bandari na kipi nitasomea !
ReplyDeleteHabar nimetuma maombi ya chuo happy bandari college Dares salaam at tandika tangu mwezi wa sita so I ask for starting date
ReplyDeleteHabar nimetuma maomb hap chuon ktk course ya crearing and forwading ngazi ya certificate nauliza siku gani tutataalifiwa date ya kuanz masomo
ReplyDeleteHabar nimetuma maomb hap chuon ktk course ya crearing and forwading ngazi ya certificate nauliza siku gani tutataalifiwa date ya kuanz masomo
ReplyDeleteVipi uli apply linii
Deletembona number zenu Za simu hazipatikanj
ReplyDeleteNinaomba maelekezo zaidi kuhusu namna ya kupata nafasi chuoni hapo
ReplyDeleteKwa majina naitwa shamili Benedicto migezo ni mhitimu wa kidato cha nne 2019 nahitaji kijiunga na chuo cha bandari dar es salaam
ReplyDeleteNahitaji course ya tour guide mnayo hapo na kama mnayo gharama zenu zipoje?
ReplyDeleteNaitaji maelekezo zaiidi kuhusu
ReplyDeleteJaribu kuainisha vigezo vya kujiunga na chuo lkn pia lini watu wanaanza kutuma maombi na mwisho wa kutuma maombi ni lini pia itakua vzr zaidi
ReplyDeleteAda ya clearing and forwarding ni bei ganii
ReplyDeleteSamahani nilikuwa naomba kuulizia course za mda mfupi za kuendesha mitambo
ReplyDeleteI need to apply
ReplyDeleteNumber hakunna
ReplyDeleteI lov ur course
ReplyDeleteSofa za kujiunga ni zipi
ReplyDeleteSofa za kujiunga ni zipi?
ReplyDeletenaitaj kujua Ada ya koz fork lift, koz nzima na vitu vinavyoitajika
ReplyDeleteNinaufaul wadalaja cnad koz gan inanifaa
ReplyDeleteMm ninaufaulu wa division four 28 nnaweza nikajiunga na koz gan apo???
ReplyDeleteAbar nilitaka fork lift na ada yake na vitu vinavyoitajika
ReplyDeleteHow can I apply for this job position
ReplyDeleteNahitaji kujiunga
ReplyDeleteNAHITAJI KUJIUNGA NA CHUO NAOMBA MWINGOZO TAFADHALI
ReplyDeleteNaombeni anaejua maelezo juu ya dmi aniambie tafadhal 0745177765
ReplyDeleteAda sh ngapi
ReplyDeleteAda bei gani mbona hamjibu
ReplyDeleteNahitaji kujiunga katika chuo chenu
ReplyDeleteMbona maswali hayajibiwi?
ReplyDeleteHabry nimemaliza kidato cha nne mwaka2021 Nina ufaulu wa C1,D7 koz gan inanifaa hapo yaani kiswC ,engD,mathD,b/kpngD,geoD,histD,biosD,civcD,
ReplyDeleteNataka kujua alama inayo
ReplyDeleteHabari mim nimemaliza form 4 mwak jan 2021 nina c moj ya kiswahili na d ya geo na d ya history na d ya english na nini f moj tuu ya mathe naweza kusoma course fani hapo chuo. Kwenu
ReplyDeleteNaomba kuuliza kwan ii bandari INA course ya hotel
ReplyDeleteMtu akiwa na c ya kiswahili na d ya biology anaweza pata nafasi apo
ReplyDelete0624732905
ReplyDeleteSifa za kujiunga na chuo ni zipi
ReplyDeleteHabari nimenaliza form four mwaka Jana Nina four ya 30mapata kozi gan
ReplyDeleteHabari vipi Ulipata chuo cha bandari kwa huo ufaulu wako?
DeleteNapata kozi gan hapa
ReplyDeleteDirisha la usajiri linafunguliwa lini 2023
ReplyDeleteJamani na Mdogo wangu anatamam hiki chuo but yy da ccd Yani eng,kisw, na civ je hapo anaweza ingia na je akiingia Ni eneo lipi?
ReplyDeleteNimefauku kwa four ya 31 koz gan Ina nifaa apo
ReplyDeleteShida hawajibu
DeleteJe kwa mtu kwenye iv ya 31 anaweza soma coz gan
ReplyDeleteKozi ya forklift operator inapatikan
ReplyDeleteMimi kwa majina naitwa Fahad Abdi hivyo naombeni kuuliza katika cheti changu cha form4 nimepata alama C, D jee? Naweza kujiunga na chuo cha ubaharia
ReplyDeleteI want course which dears with viwanda
ReplyDeleteKoz ambazo application yake ninge penda kui tumia katika viwandan
ReplyDeleteBahitaji kujuwa vyuo wapi vinapatikana
ReplyDeleteShort coz of six morth
ReplyDeleteMm nimemaliza form nne 2023 Nina Chemistry D, Civisc D, Kiswahili D, Geography D,History C, zingne F naweza kusoma koz gan apo ???
ReplyDeleteJe aliye pata ufaulu wa geography D kiswahili C history D civics D mengine F anaweza somea coz gani hapo
ReplyDeleteNimemaliza form four mwaka 2023 nataka kujiunga na coz za bandari ufaulu wangu ni Geography D history D kiswahili C Civics D mengine ni F je naweza kusomea coz ipi.
ReplyDeleteHabari mm nimemaliza form four mwaka huu nimepata 4ya 29 itapata koz gan hapo na ada shiling ngap
ReplyDeleteMimi nimepata 4ya29 nauwezekano wakusomea human resourses
ReplyDeletenimemaliza form four mwaka 2023 na nimepata division 4 ya 27 je naweza nikasoma kozi gani hapo na ada ni bei gani
ReplyDeletenahitaji information zaidi juu ya course ya terminal tractor
ReplyDeleteKinapatikana wapi?
ReplyDeleteMimi naomba kufahamu kusomea forklift ni uwe na vigezo gani na gani tafadhali nauhitaji
ReplyDelete