Habari zilizoenea kupitia mitandaoni ni kuwa Sheikh Ilunga amekamatwa na polisi huko mwanza. Sababu za kukamatwa kwake hadi sasa ni kutoa kwake CD zinazosemekana kuwa na maudhui ya uchochezi. Wakati huo huo jeshi la polisi linamtafuta Askofu Augustine Mpemba.
"Wala usiwat'ii makafiri na wanaafiki, na usijali udhia wao. Nawe mtegemee Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mtegemewa. Quran Al Ahzab 48.
"Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri. Quran Al Baqara 191."
"Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Mwenyezi Mungu. Ila ikiwa kwa ajili ya kujilinda na shari zao. Na Mwenyezi Mungu anakuhadharisheni naye. Na marejeo ni kwa Mwenyezi Mungu".

ASante kwa taarifa
ReplyDelete