Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, alitangaza nafasi za ajira kwa Wataalam wa Kada za Afya kwa mwaka 2012/2013 ambapo tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi hayo ilikuwa tarehe 10 Mei, 2013.
Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
Pia kwa vigezo na masharti ya kuomba nafasi hizo
Bofya hapa au waweza kutembelea wavuti ya wizara ya afya ambayo ni
www.moh.go.tz
No comments:
Post a Comment
TUPE MAWAZO YAKO