Uongozi wa MSAMU idara inayohusika na uendeshaji wa blog unaomba radhi kwa kipindi hiki kuwa nyuma kidogo ya muda kutokana na matatizo yanayoikabili. Hivyo basi taarifa zitazowajia zitokuwa ni chache lakini uongozi unalishughulikia tatizo hilo. Hii ni kutokana na baadhi ya Viongozi hao kuwa mbali kidogo na makao makuu na kucherewa kufika kwa taarifa katika kitengo husika.
Hili ni tatizo la muda na linakabiliwa ipasavyo kutatuliwa likiwamo upatikanaji wa Gazeti la Annur na habari nyingine hususani za kidini hapa nchini kwetu.
No comments:
Post a Comment
TUPE MAWAZO YAKO