Monday, July 23, 2012

ASSALAM ALAYKUM WARAHMATUL LAHI WABARAKATUH:


Msamu inasikitika sana kwa kutoweka Gazeti la Annur la kila wiki kama ilivyokuwa kawaida hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kutokana na kukosa nakala hizo kutoka kwa wahusika.Hivyo jitihada zinafanyika kulitatua hilo na pia inawatakia Ramadhan njema na pia kuwapa pole ndugu wa Zanzibar kwa kuondokewa na ndugu zao katika ajali ya meli na Insha allah mola awaze mahala pema ndugu zetu hao waliotangulia insha allah.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAWAZO YAKO