Sunday, February 10, 2013


Huu ni mukhtaswar wa sijdatu sahwu.
1-akiwa mwenye kuswali atatoa salaam kabla ya kutimiza swala yake (mfano swala ya maghrib akasahau akatoa salaam kwa raka ya pili)akikumbuka baada ya kupita kipindi kirefu ataswali tena upya,na akiwa atakumbuka kwa mda mchache basi atasimama na ku ileta ile rakaa alio isahau kisha ataleta sijdatusahwu.bada yasalaam kisha atatoa salaam nyingine.

2-akizidisha mwenye kuswali katika swala yake kwa kusahau kama kuzidisha rakaa au rukuu au sijda ..akiwa atakumbuka  anapotaka kuzidisha (kwa mfano mwenye kuswali akataka kusima swala ya adhuhuri rakaa ya tano na kabla ya kulingana sawa sawa akakumbuka) ni wajib arudi tashahud na hatoleta sijda tu sahwu ama akikumbuka baada ya ku ongeza ni lazima alete sijda ya kusahau na wakati wake ni baada ya salaam ata kwenda sijda mbili kisha atatoa salaam kwa mara nyingine.

ITAENDELEA...........

No comments:

Post a Comment

TUPE MAWAZO YAKO