Blog itatumia kipengele cha TWITTER kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali. Kama ni masuala ya Dini basi mtoa mada awe na elimu juu ya ataloliwasilisha kwa ajili ya kufundisha wengine na kupeana changamoto.
WOTE MUNAKARIBISHWA NA UPANDE WA KULIA WA BLOG ITAKUWA IKIONEKANA MADA HUSIKA.
Mimi nimeanza na hili la leo ""Swala ya Ishaa mwisho ni katikati ya Usiku kwa ajili ya mafunzo sahihi na si karibia au kabla ya/na Alfajir"
haya Malaptop tupo pamoja
ReplyDelete