Tuesday, November 13, 2012

KONGAMANO LA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA KIISLAM 1434

Msamu kwa ushirikiano mkubwa na Shura ya Maimam Tanzania tunapenda kutoa taarifa juu ya KONGAMANO la kuukaribisha mwaka mpya wa kiislam 1434 tarehe 16/11/2012.

Kongamano linategemewa kuanza mara tu baada ya Swala ya Ijumaa katika msikiti wa MTAMBANI. 


Miongoni mwa agenda:
     1.kufanya Tathmini na mwaa 1433
     2.Kutolewa kwa Taarifa za kesi za waislam na sheikh Ponda.

-Masheikh mbalimbali watatoa Mada kuhusu  Dhulma wanazofanyiwa waislam nchini Tanzania kwa ujumla.

-Wanafikiwa watatajwa hadharani

-Kila mwenye kupata taarifa hii basi na amfikishie mwenziwe

-Insha allah kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko na mola atusaidie katika hili AAAMIN.


                             KAMATI YA MAANDALIZI - SHURA YA MAIMAM


3 comments:

  1. mashaallah ALLAH atufanyie wepesi katika kufanikisha hilo

    ReplyDelete
  2. INSHAALLAH NASUBIRI KWA HAMU KUWAFAHAMU HAO WANAFIKI WANAOKWAMISHA MAENDELEO YA WAISLA WA TANZANIA

    ReplyDelete
  3. Allah atuwafikishe siku hiyo ya ijumaa INSHAALAH.

    ReplyDelete

TUPE MAWAZO YAKO