Sunday, June 09, 2013

GRAND CHARITY EVENT

Kwa mara nyengine tena, VID (Volunteers In Development) sisters wa DAR ES SALAAM wameandaa  GRAND CHARITY EVENT ambayo itafanyika June 30, mwaka huu.Lengo la shughuli hii ni kukusanya pesa  kwa ajili ya ndugu zetu, watoto wa kiislam ambao wapo katika hali ngumu. Hivyo michango hii ni kwa ajili ya mwezi wa Ramadhan na EID yake ili nao kufurahi. Tulifanye hili kwa nia njema kwa kutegemea malipo 
Card moja ni shilling elfu kumi tu za Tanzania ambayo ni about 7 US dollar; 4 pounds; 2.5 Oman real; 550 Kenya shilling. 
Nunua card yako na kwa ajili ya familia ama rafiki ama wanunulie maskini ili na wao waweze kuja kujumuika nasi In shaa Allah katika siku hii.
Unaweza kuchangia chakula kimoja kwa ajili ya kuuzwa siku hiyo na pesa iende mfuko wa Charity. 
Kwa wafanya biashara unaweza kukodi meza kwa ajili ya biashara yako (sio chakula) meza ni shilling 20,000.Pia unaweza kuchangia vitu kwa ajili ya kuuzwa. Kutakuwa na sadaka ya vitu hivyo ambavyo vitauzwa charity day na pesa yote itaenda kwa mfuko wa Charity. 

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na:
 1.Fatma Jaffer 0784449232, 
 2.Lulu Iyullu 0715551661, 
 3.Tune Salim 0769194312
 4.Fatma Hashim 0789883027.

Kumbuka: 
Sherehe ni ya wanawake lakini HATA WANAUME WAWEZA KUNUNUA CARDS AMA KUCHANGIA

Shukran, wa Jazakallah kheyr.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAWAZO YAKO