| Ulinzi wa kila aina katika eneo la mahakama |
| Mmoja wa waislam waliokuwa karibu na Sheikh Ponda gerezani akifurahi kuachiwa huru |
| Mmoja wa mshtakiwa akikumbatiana na ndugu baada ya kuachiwa huru |
| |
| Waandishi wa habari wakimzunguka Sheikh walau wapate vichwa vya habari vya magazeti ya kesho |
| Waumini wakishangilia baada ya kufanikiwa kurudi nae Sheikh wao Uraiani |
| Sheikh akiwa na walinzi kumpa nafasi akiwa anatoka Mahakamani |
| Mzinge nae hakuwa nyuma eneo la mahakamani akimkumbatia sheikh baada ya kutoka |
No comments:
Post a Comment
TUPE MAWAZO YAKO