Monday, July 08, 2013

UFAFANUZI WA MGOGORO WA KUANDAMA KWA MWEZI

Bonyeza kukifungua kitabu

1 comment:

  1. Haya ni katika mambo ambayo yanaurudisha nyuma uislam, hivi watu hawajajua tu kama usahihi ni upi?
    Mwanzo ilikuwa asiyefunga na mwezi wa kimataifa amekula ndani ya Ramadhani, sasa hivi wanansema kuna ikhtilafu,
    Basi kama ni hivyo msingi wa ijtihaad ni kufuata kauli iliyo salama zaidi,
    Tusubiri tu, inshaallah watasema kila watu wafunge na mwezi wao. Mambo kama haya kabla ya kupost hebu mtu afikirie,
    Hii ni blog ya Muslim Students wa Muhas, au watu fulani na fikra zao? sababu sio wote
    wenye fikra kama hizo.
    Follow this, http://www.zanzinet.org/files/MWEZI9_Ramadhaan111.doc
    Ujifunze zaidi japo kwa uchache.....

    ReplyDelete

TUPE MAWAZO YAKO