Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon ameeleza kukatishwa kwake tamaa jana na hatua ya rais wa Syria Bashar al-Assad ya kukataa kuwa na mazungumzo ya amani na waasi katika hotuba yake aliyoitoa mwishoni mwa juma kwa kuwataja waasi wanaopambana na utawala wake kuwa wametangaza vita. Ban amekatishwa tamaa kwa kuwa hotuba ya rais Bashar al-Assad haichangii katika kuleta suluhisho ambalo litamaliza mateso makubwa wanayopata watu wa Syria .
Msemaji wa umoja wa mataifa Martin Nesirky amesema kuwa hotuba hiyo imekataa kipengee muhimu cha makubaliano ya Geneva yaliyofikiwa tarehe 30 Juni 2012, ikiwa ni kipindi cha mpito cha kisiasa na kuundwa kwa chombo kitakachoongoza serikali ya mpito kikiwa na madaraka kamili ambayo yatajumuisha wawakilishi wote wa Syria.

Being aware of that it is not commission based, the
ReplyDeleteproduct sales staff in no way pressured you into generating a decision suitable away.
When time for payday loan on benefits
closing came, they have been really prompt
and every little thing was explained to me. They even enlightened
me about payday loans. There was never a time where they left you hanging.
I definitely such as the fact that any signature pages have been
able to upload on 1 hour pay day website as opposed to faxing over.
I spoke with other providers to have a refinance, but
none could match what Themoneystore made available.