Sunday, July 07, 2013

BOEING 777, ASIAN AIRLINES FLIGHT 214, YAPATA AJALI NA KUUA WAWILI


Ndege aina ya Boeing 777 yapata ajali wakati wa kutua katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha San Fancisco na kuua wawili na kujeruhi kadhaa wakati ikitokea Korea Kusini. Zaidi ya watu 300 walikuwemo kwenye ndege hiyo kwa mujibu wa Makao makuu ya Korea Kusini. Abiria na wahudumu waliwahi kutoka kwenye ndege hiyo kwa kutumia njia za dharura wakati ndege hiyo ikishika moto.

No comments:

Post a Comment

TUPE MAWAZO YAKO